Forums » Siasa/Politics

Waraka wa waiislamu na makasiriko ya dola!!

 • August 6, 2020 7:47 PM MSK

  Nimeusoma kwa makini sana waraka wa waislamu na kutafakari kisa kilichopelekea kukamatwa kwa Sheikh Ponda. Kwa hapa nchi ilipofikia tulipaswa kuwashukuru sana watu kama Sheikh Ponda kwa kutumia muda wao na kuamua kuandika haya kwa sababu kiuhalisia hizi ndizo sifa za mgombea wa uRais anayefaa hasa nyakati hizi ambapo taifa limevurugwa sana na haliko pamoja tena.

  Tunataka mgombea anaye;

  • Heshimu utu wa watu 
  • Anailinda katiba ya Tanzania
  • Awe mwenye kujua ana kuheshimu haki za binadamu 
  • Asiwe na kaburi 

  Ukisoma haya na mengineyo utagundua kwa nini dola ilikuwa na makasiriko sana juu ya huu waraka. Ukweli utabaki kuwa CCM hawana mgombea mwenye hizi sifa ndiyo maana wamekuwa wakali sana 

 • October 20, 2020 4:01 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:16 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:16 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:17 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:17 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:17 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:17 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:17 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:17 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:18 PM MSK
  Spear of The Nation said: