Forums » 2020 Tanzania elections updates/ Matukio ya uchaguzi mkuu 2020

Magufuli na kivuli ya dini kwa hou ya uchaguzi wa 2020

 • August 17, 2020 6:03 PM MSK

  Kongamano la viongozi wa dini (baadhi yao) limemalizika na kila mtu amesikia kauli zao lakini yafuatayo wakayatafakari sana na ninawaambia watanzania yafuatayo;

  1. Gharama za kongamoano hili zimelipwa na serikali na aliyehusika kufanya malipo ni Bwana Kasapira abbaye ni mhasibu kwenye ofisi ya Waziri Mkuu na alifanya kazi hii alishirikiana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Mussa Salum
  2. Sheikh Salum yeye aliomba apewe hela zaidi kwa kufanya kazi ya ku coordinate malice ya viongozi wanaohudhutia mkutano huo  na ruhusa hiyo ikatoka aka akalipwa 200,000,000/= TZS 
  3. Sheikh Salum alidiriki kualika masheikh kutoka Tanga kwa ajili ya kufanya mazindiko na akakubaliwa kufanya hivyo. Hii ni hela ya walipa kodi na hawa ni viongozi wa nchi wanaokesha majukwaani kusema wanamtanguliza Mungu mbele lakini nyuma ya pazia wanafanya mambo ya uchawi na uganga
  4. Magufuli amefika mahali anajawa na sofu ya uchaguzi kiasi cha kuamua kutumia hela ya serikali kuwahonga hela viongozi wa dini ? Kwa nini hujiamini lakini ? wewe umekuwa unajitapa ni bora kuliko wote waliopita! kumetokea nini sasa hivi ? Ule ubora wako umekwenda wapi?

  This post was edited by Spear of The Nation at August 17, 2020 6:11 PM MSK
 • October 20, 2020 4:13 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:13 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:13 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:14 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:14 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:14 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:14 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:14 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:14 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:15 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:15 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:15 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:15 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:15 PM MSK
  Spear of The Nation said:

  Kongamano la viongozi wa dini (baadhi yao) limemalizika na kila mtu amesikia kauli zao lakini yafuatayo wakayatafakari sana na ninawaambia watanzania yafuatayo;

  1. Gharama za kongamoano hili zimelipwa na serikali na aliyehusika kufanya malipo ni Bwana Kasapira abbaye ni mhasibu kwenye ofisi ya Waziri Mkuu na alifanya kazi hii alishirikiana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Mussa Salum
  2. Sheikh Salum yeye aliomba apewe hela zaidi kwa kufanya kazi ya ku coordinate malice ya viongozi wanaohudhutia mkutano huo  na ruhusa hiyo ikatoka aka akalipwa 200,000,000/= TZS 
  3. Sheikh Salum alidiriki kualika masheikh kutoka Tanga kwa ajili ya kufanya mazindiko na akakubaliwa kufanya hivyo. Hii ni hela ya walipa kodi na hawa ni viongozi wa nchi wanaokesha majukwaani kusema wanamtanguliza Mungu mbele lakini nyuma ya pazia wanafanya mambo ya uchawi na uganga
  4. Magufuli amefika mahali anajawa na sofu ya uchaguzi kiasi cha kuamua kutumia hela ya serikali kuwahonga hela viongozi wa dini ? Kwa nini hujiamini lakini ? wewe umekuwa unajitapa ni bora kuliko wote waliopita! kumetokea nini sasa hivi ? Ule ubora wako umekwenda wapi?

 • October 20, 2020 4:16 PM MSK