Forums » Siasa/Politics

Nini hatma ya muungano wa yama vya upinzani?

  • 1 posts
  August 11, 2020 1:52 AM MSK

  Siku zinazidi kuyoyoma na kuna kila dalili kuwa ule muungano wa vyama vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja hautakuwepo kabisa.. Kwa kawaida  mpaka sasa tulipaswa kuwa tunajua kama makubaliano yamefikiwa ama la?

  Kila mgombea yuko na hekaheka huku na kule kutafuta wadhamini ikiwa ni ishara ya kuwa suala la kuweka mgombea mmoja siyo la kufikirika hivi karibuni.. Hata kama inawezekana je? muda ni rafiki wa vyama vinavyoungana kuweza ku consolidate ilani zao na kuwa moja kuelekea uchaguzi? Kwa mtazamo wangu muda hautoshi na hautakuwa rafiki kabisa. 

  Tusubiri pengine hilo linawezekana dakika za majeruhi kabisa..

  This post was edited by Brown Scorpion at August 11, 2020 1:53 AM MSK
 • October 20, 2020 3:59 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:13 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:13 PM MSK
  Brown Scorpion said: