Recent Entries

 • Tanzania yalipa faini kuzuia ndege kukamatwa

  Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana. Yaani nchi inalipa fidia kimya kimya na bila hata bunge kujua na fedha zinatoka. Hivi tumekuwa nchi ya aina gani mambo haina vyombo vinavyoangalia haya mambo? Mpaka lini katiba ya Tanzania itaendelea kudharauliwa na kutoheshimiwa?  Kwa nini serikali inaji...
 • DC KASESELA NI MFANO HALISI WA VIONGOZI WA UTAWALA WA MAGUFULI

  Leo tumeona kwenye mitandao ya kijamii jinsi ambavyo DC Kasesela anasimama mbele ya kadamanasi ya kutusi watu bila kuwa na uoga wowote. Najiuliza huu umekuwa ni utaratibu wa utawala wa awamu hii? Mtu mwenye dhamana ya mkuu wa wilaya ambaye ni muwakilishi wa Rais kwenye wilaya husika anawezaje kutamk...
 • MAMBO NANE(8) YA RAIS SAMIA KUZINGATIA KWENYE HOTUBA BUNGENI

  SHERIA KANDAMIZI NA ZA HOVYO Ndani ya miaka mitano ya utawala wa Meko ni kipindi ambacho Tanzania imeshuhudia utungwaji wa sheria nyingi kandamizi na za hovyo zenye kulenga kukandamiza wananchi na uhuru wao wa kikatiba. Nyingi zilipitishwa bungeni kwa dharura Moja ya matukio ya ajabu ni pale s...
 • SAKATA LA VIJANA WALIOFUKUZWA JKT

  Tarehe 17 Aprili 2021, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) General Venance Mabeyo alieleza katika hotuba yake kwa Rais Samia Suluhu kuwa wamewafuta kazi vijana 854 wa JKT baada ya vijana hawa kugoma kupangiwa eneo linguine la kazi na kushinikiza kuwa wapewe ajira kazini. Vijana hawa ni wale walioahidiwa...
 • TISS na CCM walivyopanga kuvuruga uchaguzi

  Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kinondoni na Kawe jana tarehe 21.10.2020 kafanya kikao na wasimamizi,wasimamizi wasaidizi na makarani wote wa uchaguzi kwa Kinondoni na Kawe ka kuwapa maelekezo ya jinsi watakavyo iba kura  1. Watahakikisha kuna kundi la watu wa CCM wanakuja na kura zimekwishapig...
 • Ofisi za Chadema kanda ya Kaskazini zachomwa moto

  Habari zilizotufikia ni kuwa ofisi za Chadema Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo. Ikumbukwe mgombea urais kwa ticket ya Chadema Mh Lissu leo anaanza ziara kanda ya kasakazini kutafuta wadhamini.  Napata shida sana kuamini watu waliofanya siasa miaka zaidi ya minne peke y...
 • Maagizo ya Magufuli kwa TCRA

  Chanzo chetu ndani ya TISS na TCRA kimethibitisha kuwa TCRA wamepewa maelekezo na Magufuli kuthibiti matumizi ya mitandao hasa social media kuelekea uchaguzi mkuu  TCRA imeagiza makampuni ya simu yote kupunguza kiwango cha ujazo wa MBs/GBs kwenye vifurushi vya internet haraka iwezekanavyo ...
  comments