Recent Entries

  • Nini tunajifunza kwenye teuzi za wagombea wa u Rais -2020?

    Inawezekana ACT Wazalendo wakaonekana ni chama kidogo kisiasa lakini kwa muda mfupi tangia Maalim Seif na kundi lake kuingia ACT Wazalendo wakitokea CUF wamebadilisha kabisa mtazamo na vision ya hiki chama Suala la Membe kujiunga na ACT Wazalendo linaonekana limefanywa kimkakati sana na kufanyiwa...